Indirimbo Zikundwa Open in the app

#476

Mungu mwumbaji

Umuco 2

Couplet 1

Mungu Mwumbaji, Mungu wa Upendo, Baba wa vyote, Mungu mwenye Uwezo, Uko Mbinguni na duniani pote, Tumutukuze Baba wa milele.

Refrain

{Namtumainia, ni Mwokozi wangu, na Ushindi wangu, Ameniokowa.} x2

Couplet 2

Yesu Mwana wa Mungu, Mukombozi wetu, Alitufiya sisi watu wabaya. Tumtukuze kwa Uwezo wake, Alituondowa utumwani mwa dhambi.

Refrain

{Namtumainia, ni Mwokozi wangu, na Ushindi wangu, Ameniokowa.} x2

Couplet 3

Wewe baba, mama, kijana na dada, wafanya nini bila kumujali? Siku ya mwisho utaenda wapi? Dunia yote itaangamia.

Refrain

{Namtumainia, ni Mwokozi wangu, na Ushindi wangu, Ameniokowa.} x2

Couplet 4

Yesu ndiye Mungu Aliumba vyote, Umuliliye atakuokowa, Kutoka dhambi na dunia hiyi, Tumtukuze Baba wa milele.

Refrain

{Namtumainia, ni Mwokozi wangu, na Ushindi wangu, Ameniokowa.} x2