Indirimbo Zikundwa Open in the app

#468

Naushika msalaba wa Yesu

Umuco 2

Couplet 1

Naushika Msalaba waYesu, Katika maisha ya ujana wangu, Naushika kwa maisha yangu yote, hata kufa sitauacha.

Refrain

Naushika na furaha sana, hata kufa sitauacha.

Couplet 2

Naushika Msalaba wa Yesu, Ingawa mawimbi yananisumbuwa, kwa uzuni nyingi nalilia Bwana, haniachi kwa maisha yangu.

Refrain

Naushika na furaha sana, hata kufa sitauacha.

Couplet 3

Msalaba huu ni furaha yangu, ndiye nani basi a’nitenga nao, Naushika kwa maisha yangu yote, hata kufa sintauacha.

Couplet 4

Bila Msalaba (ha)kuna uhakika, Kwamba mimi ni’ katika Safari, ya kwenda Mbinguni kwa Mwokozi wangu... Hata kufa sitauacha.

Refrain

Naushika na furaha sana, hata kufa sitauacha.