#191
Safari ya kwenda mbinguni
Umuco
Couplet 1
Safari hiyi, ya kwenda Mbinguni, ni ngumu sana, Bwana Uniwezeshe. Kama sikuone wewe Bwana wangu, natetemeshwa na mambo ya huku.
Refrain
Ninasafili kwa Waliokombolewa, Ninasafili huko juu Mbinguni ./.Oo Bwana wangu, Bwana wangu Niokowe, na giza hii, ya mambo ya huku./.
Couplet 2
Safari hii ya kwenda Mbinguni, ni ngumu sana, Bwana Unisaidie, ona, milima ni mirefu sana, siwezi kitu Bwana Uniwezeshe.
Refrain
Ninasafili kwa Waliokombolewa, Ninasafili huko juu Mbinguni ./.Oo Bwana wangu, Bwana wangu Niokowe, na giza hii, ya mambo ya huku./.
Couplet 3
Kwa nguvu zangu, mimi siwezi kitu nakuitaji, Bwana Unitangulie, Unishike mkono niko juu ya bahari, Nishike mkono nisije kuzama.
Refrain
Ninasafili kwa Waliokombolewa, Ninasafili huko juu Mbinguni ./.Oo Bwana wangu, Bwana wangu Niokowe, na giza hii, ya mambo ya huku./.
Couplet 4
Wandugu zangu, wamenitangulia kwa nguvu zako, wameshinda yote na mimi Bwana niko umoja wao nisaidie nifike Mbinguni.