#190
E’bwana Mungu unafahamu
Umuco
Couplet 1
E’Bwana Mungu unafahamu, siku izi tulizo nazo kuna maasi mengi sana, ninakuomba Bwana unirehamu.
Refrain
E’Bwana Mungu mwenye neema, ninakuomba Bwana unirehemu, mbinguni hatufika kitu cha uchafu na wala kwa hio wewe u‘ Mungu ninakuomba Bwana unirehemu.
Couplet 2
Tazama siku izi za Laodikiya, watu ni wengi sana, maasi ni mengi sana, kwa hio sisi watu wako, tunakuomba uturehemu.
Refrain
E’Bwana Mungu mwenye neema, ninakuomba Bwana unirehemu, mbinguni hatufika kitu cha uchafu na wala kwa hio wewe u‘ Mungu ninakuomba Bwana unirehemu.
Couplet 3
Yesu peke yako ulisema ya kwamba, kama ilivyo kuwa wakati wa Nowa, na ndivyo hivyo itakua na wakati huu utuhepushe uovu huyo.
Refrain
E’Bwana Mungu mwenye neema, ninakuomba Bwana unirehemu, mbinguni hatufika kitu cha uchafu na wala kwa hio wewe u‘ Mungu ninakuomba Bwana unirehemu.
Couplet 4
Na kwa hio ndugu, tulivae neno la wakati wetu, latwambia tujiepushe, na siku hizi za hatari, tulivae neno lake Yesu, ili tushinde siku izi za kuhasi.