Indirimbo Zikundwa Open in the app

#185

Maranyingi ninateswa

Umuco

Couplet 1

Mara nyingi ninateswa, na ubaya wa dunia maovu yanisumbua, ninyakuwe nije kwako, nikae Yerusalemu.

Refrain

E’mbingu jiandae, E’Yerusalemu jiandae, jiandaeni kupokea walioshinda dunia, wanaokua na kovu, za msalaba wa Kristo

Couplet 2

Ahadi zote zimefika, dalili zote zimefika, umemtuma Elia kuandaa kanisa lako, tunyakue tuje kwako.

Refrain

E’mbingu jiandae, E’Yerusalemu jiandae, jiandaeni kupokea walioshinda dunia, wanaokua na kovu, za msalaba wa Kristo

Couplet 3

Tarumbeti ya mlaika wa siku za mwisho limelia, tunangojea nini Baba? Tufariji na roho wako tukungojee kwa bidii.

Refrain

E’mbingu jiandae, E’Yerusalemu jiandae, jiandaeni kupokea walioshinda dunia, wanaokua na kovu, za msalaba wa Kristo

Couplet 4

Umenyakua Enoki umenyakua Elia, walikua wamechukizwa na maasi ya dunia, tunyakue nasi Bwana

Refrain

E’mbingu jiandae, E’Yerusalemu jiandae, jiandaeni kupokea walioshinda dunia, wanaokua na kovu, za msalaba wa Kristo

Couplet 5

Ashindae atavikwa taji ya uzima wa milele, ataishi Yerusalem pamoja na Mkombozi milele na milele.