Indirimbo Zikundwa Open in the app

#166

Ujana wangu

Umuco

Couplet 1

Ujana wangu, ujana wangu ninaumpa Bwana Yesu, ninamjipa katika vyote, katika siku za maisha yangu ./.Yesu zihirisha nguvu zako, ndani yangu ewe Bwana wangu./.

Refrain

Siku zangu za kale, nilimtumikia shetani, katika ujana wangu, lakini ulikufa bure, lakini siku zangu za sasa, nitamtumikia Bwana wangu, siku za maisha yangu yote ./.Nitamtumikia Bwana wangu./.

Couplet 2

Ujana wangu ujana wangu, ninaumpa Bwana Yesu ili awutawale uja wangu, katika siku za maisha yangu ./.Yesu zihirisha nguvu zako, ndani yangu ewe Bwana wangu./.

Refrain

Siku zangu za kale, nilimtumikia shetani, katika ujana wangu, lakini ulikufa bure, lakini siku zangu za sasa, nitamtumikia Bwana wangu, siku za maisha yangu yote ./.Nitamtumikia Bwana wangu./.

Couplet 3

Ujana wangu ujana wangu, wakale ulikufa bure sana lakini ujana wangu wa sasa, ni wa katika Bwana Yesu Kristo ./.Ninawaza kazi yake Bwana kuliko laha ya duniani./.

Refrain

Siku zangu za kale, nilimtumikia shetani, katika ujana wangu, lakini ulikufa bure, lakini siku zangu za sasa, nitamtumikia Bwana wangu, siku za maisha yangu yote ./.Nitamtumikia Bwana wangu./.

Couplet 4

Ujana wangu ujana wangu, si wa yule muovu tena, bali ni wa Kristo Yesu, aliniokowa akanifilia ./. Habari za mbinguni zimo rohoni mimi ni wa Yesu siku zote./.