#154
Mwili huyu nilionao
Umuco
Couplet 1
Mwili huyu nilionao, mwili huyu nilionao, tama zao hazina mwisho, anaetawaliwa na mwili huyu hakumjua Baba Mungu.
Refrain
Mwili huyu ni mavumbi, mwili huyu ni kama majani, mwili huyu ni kama maua yanaochanua na kunyauka, hayarudie mtini tena ndivyo mwili ulivyo.
Couplet 2
Mwili huyu nilio nao, unatamani mambo ya dunia tama zao hazina mwisho, na tabia zao ni za dunia, umezaliwa na dunia.
Refrain
Mwili huyu ni mavumbi, mwili huyu ni kama majani, mwili huyu ni kama maua yanaochanua na kunyauka, hayarudie mtini tena ndivyo mwili ulivyo.
Couplet 3
Mwili huyu nilio nao, mambo yao ni umpumbavu, ni mambo ya upotevu, ni mambo ya kuhasi kuhasi Mungu, mwili unatamani vumbi.
Refrain
Mwili huyu ni mavumbi, mwili huyu ni kama majani, mwili huyu ni kama maua yanaochanua na kunyauka, hayarudie mtini tena ndivyo mwili ulivyo.
Couplet 4
Mwili umetoka mavu-mbini, mwisho wao ni mavumbini, mwili unatamani vumbi mwili unaishi ju ya vumbi vilivyo dunia ni vumbi tu.
Refrain
Mwili huyu ni mavumbi, mwili huyu ni kama majani, mwili huyu ni kama maua yanaochanua na kunyauka, hayarudie mtini tena ndivyo mwili ulivyo.
Couplet 5
Ee Bwana Mungu Baba ujaze nguvu zako, ndani ya mtu wa ndani, apate kumtawala mtu wa inje, ee Mungu unisaidie.