#145
Bwana wangu unikalibie
Umuco
Couplet 1
Bwana wangu unikalibie, nipate nguvu za kushinda, nipate nguvu za kushinda mwili, Bwana wangu unikalibie.
Refrain
Bwana wangu ninakusii, unikalibie Bwana wangu, nyakuwa roho yangu sasa, uiepushe na mwili huyu Bwana wangu unikalibie.
Couplet 2
Bwana wangu unikalibie, ili mwili na hakili vitii, maana mwili unajiniweka mbele, Bwana wangu unikalibie.
Refrain
Bwana wangu ninakusii, unikalibie Bwana wangu, nyakuwa roho yangu sasa, uiepushe na mwili huyu Bwana wangu unikalibie.
Couplet 3
Ninatamani kutenda vizuri, kibaya kinajiniweka mbele, mwili na akili vinaniudhi, Bwana wangu unikalibie.