#246
Tu’ jeshi lake bwana
Umuco 1
Refrain
[Trad. en Fr. & Kir., voir Cant. n° 457-458]
Couplet 1
Tu’ Jeshi lake Bwana, Tuwe imara kweli, Kama askari vitani, Na tukeshe kwa kweli.
Refrain
Neno la Mungu: Chakula chetu... Chakula chetu vitani, Maombi pia: Silaha zetu... Silaha zetu vitani.
Couplet 2
Shika silaha zako, Usiku na mchana, Omba Mwokozi wako, Na ukeshe kwa kweli.
Refrain
Neno la Mungu: Chakula chetu... Chakula chetu vitani, Maombi pia: Silaha zetu... Silaha zetu vitani.
Couplet 3
Tuna Mfalme wetu, Aliyeshinda yote, Na sisi tutashinda, Kwa kua ameshinda.
Refrain
Neno la Mungu: Chakula chetu... Chakula chetu vitani, Maombi pia: Silaha zetu... Silaha zetu vitani.
Couplet 4
Na wewe ndugu yangu, Uwe mvumilivu, Katika shida zote, Shika Neno la Mungu.
Refrain
Neno la Mungu: Chakula chetu... Chakula chetu vitani, Maombi pia: Silaha zetu... Silaha zetu vitani.
Couplet 5
Uti Mungu wako, Uvae Neno lake, Shindana na Shetani, Naye atakukimbia.