Indirimbo Zikundwa Open in the app

#203

Safari yangu sasa

Umuco 1

Couplet 1

Safari yangu sasa iko wazi kweli, Kwa kuwa nimejuwa mimi ni nani, Na nimejuwa kuwa msafiri ni nini, Na shabaa ya msafiri ni nini.

Refrain

Njia nimeijuwa, Na mwisho wake nimeujuwa, Na wasafiri ninawajuwa, Walio wa kwetu (ni)nawajuwa, Haleluya, nasifu Bwana, Haleluya, Haleluya!

Couplet 2

Nimeona mengi humu safarini, Nimejuwa wengi humu safarini, Na hali za wasafiri nimezijuwa; Kitu gani kitanisimamisha tena?

Refrain

Njia nimeijuwa, Na mwisho wake nimeujuwa, Na wasafiri ninawajuwa, Walio wa kwetu (ni)nawajuwa, Haleluya, nasifu Bwana, Haleluya, Haleluya!

Couplet 3

Tabia za kwetu ninazijuwa, Zisizo za kwetu ninazijuwa, Wa maneno mengi nimewajuwa, Haleluya, Haleluya, nimewajuwa.

Refrain

Njia nimeijuwa, Na mwisho wake nimeujuwa, Na wasafiri ninawajuwa, Walio wa kwetu (ni)nawajuwa, Haleluya, nasifu Bwana, Haleluya, Haleluya!

Couplet 4

Mitego yote nimeijuwa, Habari za uongo zote nimezijuwa, Habari za Ufalme pia nimezijua, Ni nani atakayenidanganya tena?

Refrain

Njia nimeijuwa, Na mwisho wake nimeujuwa, Na wasafiri ninawajuwa, Walio wa kwetu (ni)nawajuwa, Haleluya, nasifu Bwana, Haleluya, Haleluya!

Couplet 5

Ninafurahi sana humu safarini, Kwa kuwa sitapotea njia tena, Kwa nguvu za Mungu yote nimeyajua, Ninakwenda Mbinguni, Haleluya!