Indirimbo Zikundwa Open in the app

#166

Ujana wangu

Umuco 1

Couplet 1

Ujana wangu, ujana wangu, Ninaumpa Bwana Yesu, Ninamjipa katika vyote, Katika siku za maisha yangu, {Yesu dhihirisha nguvu zako, Ndani yangu ewe Bwana wangu.} x2

Refrain

Siku zangu za kale, Nilimtumikia Shetani, Katika ujana wangu, Lakini ulikufa bure, Lakini siku zangu za sasa, Nitamtumikia Bwana wangu, Siku za maisha yangu yote, {Nitamtumikia Bwana wangu.} x2

Couplet 2

Ujana wangu, ujana wangu, Ninaumpa Bwana Yesu, Ili autawale ujana wangu, Katika siku za maisha yangu, {Yesu dhihrisha nguvu zako, Ndani yangu ewe Bwana wangu.} x2

Refrain

Siku zangu za kale, Nilimtumikia Shetani, Katika ujana wangu, Lakini ulikufa bure, Lakini siku zangu za sasa, Nitamtumikia Bwana wangu, Siku za maisha yangu yote, {Nitamtumikia Bwana wangu.} x2

Couplet 3

Ujana wangu, ujana wangu, Wa kale ulikufa bure sana, Lakini ujana wangu wa sasa, Ni wa katika Bwana Yesu Kristo, {Ninawaza kazi yake Bwana, Kuliko raha ya duniani.} x2

Refrain

Siku zangu za kale, Nilimtumikia Shetani, Katika ujana wangu, Lakini ulikufa bure, Lakini siku zangu za sasa, Nitamtumikia Bwana wangu, Siku za maisha yangu yote, {Nitamtumikia Bwana wangu.} x2

Couplet 4

Ujana wangu, ujana wangu, Si wa yule muovu tena, Bali ni wa Kristo Yesu, Aliyeniokoa akanifilia, {Habari za mbinguni zi’ rohoni, Mimi ni wa Yesu siku zote.} x2