#145
Bwana wangu unikaribie
Umuco 1
Couplet 1
Bwana wangu unikaribie, Nipate nguvu za kushinda, Nipate nguvu za kushinda mwili, Bwana wangu unikaribie.
Refrain
Bwana wangu ninakusihi, Unikaribie Bwana wangu, Nyakua roho yangu sasa, Uiepushe na mwili huyu, Bwana wangu unikaribie.
Couplet 2
Bwana wangu unikaribie, Ili mwili na hakili vitii, Maana mwili unajiniweka mbele, Bwana wangu unikaribie.
Refrain
Bwana wangu ninakusihi, Unikaribie Bwana wangu, Nyakua roho yangu sasa, Uiepushe na mwili huyu, Bwana wangu unikaribie.
Couplet 3
Ninatamani kutenda vizuri, Kibaya kinajiniweka mbele, Mwili na akili vinaniudhi, Bwana wangu unikaribie.