#115
Kuna nyumba isiojengwa
Umuco 1
Couplet 1
Kuna Nyumba isiojengwa, Na mikono ya wanaadamu, Ni nyumba nzuri sana, Ni nyumba ya Mungu Baba, Muumba wa vyote, Jina lake ni, Mtakatifu, mwenye haki.
Refrain
Ee Baba, ee Baba Mungu, Uitakase nyumba yako, Uikae ndani na uitawale, Kwa kuwa Wewe Bwana, Haukai ndani ya nyumba za watu, Kaa nyumbani mwako na utumike, Manyumba ni mengi lakini wamekufukuza, Njooni mwangu tuchangie.
Couplet 2
Makanisa ni mengi sana, Na manyumba ni mengi sana, Lakini kuna nyumba, Iliyojengwa na Mungu Baba, Ni nyumba ya mwenye nayo, njoo Bwana Mungu uitumikie ndani.
Refrain
Ee Baba, ee Baba Mungu, Uitakase nyumba yako, Uikae ndani na uitawale, Kwa kuwa Wewe Bwana, Haukai ndani ya nyumba za watu, Kaa nyumbani mwako na utumike, Manyumba ni mengi lakini wamekufukuza, Njooni mwangu tuchangie.
Couplet 3
Katika nyumba havimo vyombo, Vya dhahabu na vya fedha, Tu, bali na vya miti na vya udongo, Vinginevyo vya heshima, Vingine havina; nimejitenga na uovu, njoo unitumikishe.
Refrain
Ee Baba, ee Baba Mungu, Uitakase nyumba yako, Uikae ndani na uitawale, Kwa kuwa Wewe Bwana, Haukai ndani ya nyumba za watu, Kaa nyumbani mwako na utumike, Manyumba ni mengi lakini wamekufukuza, Njooni mwangu tuchangie.
Couplet 4
Kaa ndani ya nyumba yako, Ipate kujaa utukufu wako, Uitumikie ndani, Kazi yako Bwana Yesu, Ee Baba, njoo tumika kazi yako kanisani, mwako.
Refrain
Ee Baba, ee Baba Mungu, Uitakase nyumba yako, Uikae ndani na uitawale, Kwa kuwa Wewe Bwana, Haukai ndani ya nyumba za watu, Kaa nyumbani mwako na utumike, Manyumba ni mengi lakini wamekufukuza, Njooni mwangu tuchangie.
Couplet 5
Makanisa ya Laodikiya, Yamekutupa inje Bwana Yesu, Mimi chombo chako, kaa, Ndani yangu Bwana Yesu, Uwe ndani yangu nami niwe, ndani yako, njoo ukae nami.