Indirimbo Zikundwa Open in the app

#107

Kuna njia kweli nzuri

Umuco 1

Couplet 1

Kuna njia kweli nzuri sana, Mwanzo wake ni Goligotha, Yaanzia kweli Msalabani, Inafika Mbinguni kwa Baba.

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, Wasio safi hawapiti juu yake, Ni njia ya watoto wa Mungu, Hata wakiwa wajinga sana, Hawatapotea njia hiyo, {Waliokombolewa wanaiona.} x2

Couplet 2

Njia hiyo inajaa utukufu, Utukufu wa Baba huijaa, Mataifa kweli hawaioni, Waliokombolewa wanaiona.

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, Wasio safi hawapiti juu yake, Ni njia ya watoto wa Mungu, Hata wakiwa wajinga sana, Hawatapotea njia hiyo, {Waliokombolewa wanaiona.} x2

Couplet 3

Mataifa kweli hawaioni, Waiona kama njia mbaya, Inajaa masimba wengi sana, Waiona kama njia ya taabu.

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, Wasio safi hawapiti juu yake, Ni njia ya watoto wa Mungu, Hata wakiwa wajinga sana, Hawatapotea njia hiyo, {Waliokombolewa wanaiona.} x2

Couplet 4

Na sisi waliokombolewa, Twaiona ni njia ya utukufu, Utukufu wa Baba Mungu, Unajaa katika njia hiyo.

Refrain

Ni njia kweli ya utukufu, Wasio safi hawapiti juu yake, Ni njia ya watoto wa Mungu, Hata wakiwa wajinga sana, Hawatapotea njia hiyo, {Waliokombolewa wanaiona.} x2

Couplet 5

Jinsi unavyopiga hatua, Na ndivyo jinsi unazidisha, Kuona utukufu wa Baba, Njia hiyo inafika Sayuni.