#76
Imani ya bwana Yesu
Umuco 1
Couplet 1
Imani ya Bwana Yesu, Ilikwa ya ajabu, Ilikwa ikiponya magonjwa, {Ilikwa ikifukuza pepo {.
Refrain
Imani ni neno la ajabu, Wanaoamini ni wachache, Lakini mimi ni mtoto, {Wa baba’ngu Ibrahimu.} x2
Couplet 2
Mimi ni mtoto wa kizazi, Cha Ibrahimu mmoja wa imani, Kiongozi ni wingu la moto, {Iliongoza Israeli.} x2
Refrain
Imani ni neno la ajabu, Wanaoamini ni wachache, Lakini mimi ni mtoto, {Wa baba’ngu Ibrahimu.} x2
Couplet 3
Watoto wa Baba wanajaa, Imani ya baba Ibrahimu, Imani isio na shaka, {Ni imani ya Bwana Yesu.} x2
Refrain
Imani ni neno la ajabu, Wanaoamini ni wachache, Lakini mimi ni mtoto, {Wa baba’ngu Ibrahimu.} x2
Couplet 4
Ukikwa na imani ndugu, Utaambia mlima, Uanguke kule baharini, {Imani ni neno la ajabu.} x2
Refrain
Imani ni neno la ajabu, Wanaoamini ni wachache, Lakini mimi ni mtoto, {Wa baba’ngu Ibrahimu.} x2
Couplet 5
Watoto wa yule muowu, Wanaiga imani hio, Lakini haiwezikani, {Mbuzi kugeuka kondoo.} x2