Indirimbo Zikundwa Open in the app

#54

Bwana Yesu ulisema

Umuco 1

Couplet 1

Bwana Yesu ulisema, Muombeni bila kuchoka, Nakuomba unijaze, Roho wako nipate kuomba.

Refrain

Nakuomba unijaze, Uwezo, ewe Bwana, Nipate kuomba, Kila siku bila kuchoka.

Couplet 2

Bwana wangu ulinipa, Mfano nipasavyo kuomba, Ulikua ukikesha, Mlimani mwa mizeituni.

Refrain

Nakuomba unijaze, Uwezo, ewe Bwana, Nipate kuomba, Kila siku bila kuchoka.

Couplet 3

Nakuomba nikisihi, MimiBwana nisaidie, Unipe kukuona, Nina kiu na Wewe Bwana.

Refrain

Nakuomba unijaze, Uwezo, ewe Bwana, Nipate kuomba, Kila siku bila kuchoka.

Couplet 4

Ee Bwana sasa nami, Nipandishe mlimani huko, Ili nami nikeshe, Ningojee kurudi kwako.

Refrain

Nakuomba unijaze, Uwezo, ewe Bwana, Nipate kuomba, Kila siku bila kuchoka.