Indirimbo Zikundwa Open in the app

#51

Palikuwa mtu mmoja kipofu

Umuco 1

Couplet 1

Palikua mtu mmoja kipofu, Aliketi kando ya njia, Aliposikia Yesu akipita, Akapaaza saufi yake:.

Refrain

Yesu Mwana wa Dawidi, Unirehemu mimi, Ninataka macho nione Yesu, Walimkemea watu, ili anyamaze lakini alizidi, Kuipaaza sauti yake.

Couplet 2

Yesu alisema akiamuru, Kumleta yule kipofu, Yesu alimuuliza: “unataka nini?”, “Ninataka macho nione”.

Refrain

Yesu Mwana wa Dawidi, Unirehemu mimi, Ninataka macho nione Yesu, Walimkemea watu, ili anyamaze lakini alizidi, Kuipaaza sauti yake.

Couplet 3

Yesu alimwambia: “upate kuona, Na imani imekuponya”, Kipofu akaenda akisifu Mungu: Asifiwe Mungu, Amen!”.