#27
Unirehemu e’ Mungu wangu
Umuco 1
Couplet 1
Unirehemu e’ Mungu wangu, Unirehemu mimi, Maana roho yangu mimi, Inakukimbilia.
Refrain
Maana neema yako ni kubwa, Bwana hata milele, {Na mbinguni tutaimba, Halelasya, haleluya, amen! Halelaeya, Amen!} x2
Couplet 2
Uniponyeshe maadui zangu, E’we Mungu wangu, Ninatembea katika giza, Unionyeshe nuru.
Refrain
Maana neema yako ni kubwa, Bwana hata milele, {Na mbinguni tutaimba, Halelasya, haleluya, amen! Halelaeya, Amen!} x2
Couplet 3
Unisikie e Mungu wangu, Usiwe mbali nami, Usinifiche uso wako, Sikia shida yangu.
Refrain
Maana neema yako ni kubwa, Bwana hata milele, {Na mbinguni tutaimba, Halelasya, haleluya, amen! Halelaeya, Amen!} x2
Couplet 4
Ninatamani moyoni mwangu, Kuona uso wako, Nimezaliwa katika giza, Nakuhitaji Wewe.