#5
Mbinguni juu
Umuco 1
Refrain
[Trad. en Kir., voir Cant. n°437]
Couplet 1
Mbinguni juu malaika, Waimba nyimbo nzuri sana, Kwa kumusifu Mungu wetu, Aliye Muumba wa vyote.
Refrain
{Haleluya, waimba, waimba, waimba.} x2 [Haleluya, waimba, haleluya ], - Wamalaika waimba... - Watakatifu waimba... - Waaminifu waimba... - Washujaa waimba....
Couplet 2
Natamani sana sana, Mji ule wa amani, Mji ule wa utukufu, Utukufu wa milele.
Refrain
{Haleluya, waimba, waimba, waimba.} x2 [Haleluya, waimba, haleluya ], - Wamalaika waimba... - Watakatifu waimba... - Waaminifu waimba... - Washujaa waimba....
Couplet 3
Siku ile ya ajabu, Tutaimba haleluya, Kukaa na Bwana Yesu, Tutaimba haleluya!