Indirimbo Zikundwa Open in the app

#80

Upendo wa baba Mungu

Umuco

Couplet 1

Upendo wa Baba Mungu, umemutuma kumtowa, mwana we wa pekee, ili atuokowe utumwani.

Refrain

Pendo la Baba lije katika kanisa lako kanisa lako Bwana lifanane na wewe Bwana.

Couplet 2

Amri ya kwanza yasema, umupende Bwana Mungu, na roho yako yote na nguvu na akili yako.

Refrain

Pendo la Baba lije katika kanisa lako kanisa lako Bwana lifanane na wewe Bwana.

Couplet 3

Upendo wa Baba Mungu, ujae kwa kila kiuongo, ili mwili wa Kristo upate kuwa na umoja.

Refrain

Pendo la Baba lije katika kanisa lako kanisa lako Bwana lifanane na wewe Bwana.

Couplet 4

Upendo unafunga sana, njia za yule muovu, upendo ni jambo kubwa la kwanza kwa kila mukristo.

Refrain

Pendo la Baba lije katika kanisa lako kanisa lako Bwana lifanane na wewe Bwana.

Couplet 5

Bwana jaza upendo kweli katika kanisa lako, mataifa wapaete kuona na kuvutwa na pendo hilo.

Refrain

Pendo la Baba lije katika kanisa lako kanisa lako Bwana lifanane na wewe Bwana.

Couplet 6

Kanisa lako la kale lilikuwa na upendo nasi Bwana utujalie utujaze upendo huo.