Indirimbo Zikundwa Open in the app

#77

Kanisa la bwana Yesu

Umuco

Couplet 1

Kanisa la Bwana Yesu ombeni mtaokoka Yesu alitushindia kwani yeye ndie kichwa.

Refrain

Bwana Mungu ndiye Kichwa cha Kristo, Kristo nae ndiye kichwa cha Mme, Mme nae ndiye kichua cha mke, Tiini mtaokoka.

Couplet 2

Bwana Yesu alifufuka akatushindia Adamu, yaani hu’mwili akatushindia Bwana.

Refrain

Bwana Mungu ndiye Kichwa cha Kristo, Kristo nae ndiye kichwa cha Mme, Mme nae ndiye kichua cha mke, Tiini mtaokoka.

Couplet 3

Kama Mungu hangekua na Kristo hangekua, Bwana Yesu hangekua kanisa halingeonekana.

Refrain

Bwana Mungu ndiye Kichwa cha Kristo, Kristo nae ndiye kichwa cha Mme, Mme nae ndiye kichua cha mke, Tiini mtaokoka.

Couplet 4

Kama mme hangekuwa na mke hangekuwa. Kanisa la Bwana Yesu musiwe na kibuli.

Refrain

Bwana Mungu ndiye Kichwa cha Kristo, Kristo nae ndiye kichwa cha Mme, Mme nae ndiye kichua cha mke, Tiini mtaokoka.

Couplet 5

Kanisa mtii Kristo, mke umtii mume, watoto tiini wazazi ndio msingi wa kweli.