Indirimbo Zikundwa Open in the app

#76

Imani ya bwana Yesu

Umuco

Couplet 1

Imani ya Bwana Yesu, ilikuwa ya ajabu ilikuwa ikiponya magonjwa ./.Ilikuwa ikifukuza pepo./.

Refrain

Imani ni neno la ajabu wanao amini ni wachache lakini mimi ni mtoto ./.Wa babangu Ibrahimu./.

Couplet 2

Mimi ni mtoto wa kizazi, cha Ibrahimu umoja wa imani, kiongozi ni wingu la moto ./.Iliongoza Isiraeli./.

Refrain

Imani ni neno la ajabu wanao amini ni wachache lakini mimi ni mtoto ./.Wa babangu Ibrahimu./.

Couplet 3

Watoto wa baba wa najaa, imani ya Baba Ibrahimu imani isio na shaka ./.Ni imani ya Bwana Yesu./.

Refrain

Imani ni neno la ajabu wanao amini ni wachache lakini mimi ni mtoto ./.Wa babangu Ibrahimu./.

Couplet 4

Ukiwa na imani ndugu utaambia mulima uanguke kule baharini. ./.Imani ni neno la ajabu./.

Refrain

Imani ni neno la ajabu wanao amini ni wachache lakini mimi ni mtoto ./.Wa babangu Ibrahimu./.

Couplet 5

Watoto wa yule muovu wanahiga imani hio, lakini haiwezekani. ./.Mbuzi kugeuka kondoo./.