#54
Bwana Yesu ulisema
Umuco
Couplet 1
Bwana Yesu ulisema muombeni bila kuchoka na kuomba unijaze roho wako nipate kuomba.
Refrain
Nakuomba unijaze, uwezo ewe Bwana nipate kuomba kila siku bila kuchoka.
Couplet 2
Bwana wangu ulinipa mfano nilipasavyo kuomba, ulikua ukikesha mulimani mwa mizeituni.
Refrain
Nakuomba unijaze, uwezo ewe Bwana nipate kuomba kila siku bila kuchoka.
Couplet 3
Nakuomba nikisii mimi Bwana nisaidie unipe kukuona, Nina kiu na wewe Bwana.
Refrain
Nakuomba unijaze, uwezo ewe Bwana nipate kuomba kila siku bila kuchoka.
Couplet 4
Ee Bwana sasa nami nipandishe mulimani huko, ili nami nikeshe, ningojee kurudi kwako.
Refrain
Nakuomba unijaze, uwezo ewe Bwana nipate kuomba kila siku bila kuchoka.