Indirimbo Zikundwa Open in the app

#51

Palikua mtu moja kipofu

Umuco

Couplet 1

Palikua mtu moja kipofu, aliketi kando ya njia, aliposikia Yesu akipita akapaza sauti yake.

Refrain

Yesu Mwana wa Dawidi unilehemu mimi, ninataka macho nione Yesu, walimkemea watu ili anyamanze lakini alizidi kuipaza sauti yake.

Couplet 2

Yesu alisema akiamuru kumleta yule kipofu, Yesu alimuuliza unataka nini ninataka macho nione.

Refrain

Yesu Mwana wa Dawidi unilehemu mimi, ninataka macho nione Yesu, walimkemea watu ili anyamanze lakini alizidi kuipaza sauti yake.

Couplet 3

Yesu alimwambia upate kuona, na imani imekuponya kipofu akayenda akisifu Mungu asifiwe Mungu Amen!