Indirimbo Zikundwa Open in the app

#49

Bwana wangu unisikiye

Umuco

Couplet 1

Bwana wangu unisikiye, nimesahau kutii Bwana, nimelemewa na Shetani, fika kwangu ewe Bwana wangu.

Refrain

Yesu, Yesu, ninalia usi…nipite mimi nime… nimeisha teseka Bwana kwa sababu ya dhambi.

Couplet 2

Mara nyingi ninahubiliwa, lakini ninakua mzaifu ninajua ni wewe Yesu, utaniokoa kwenye shida.

Refrain

Yesu, Yesu, ninalia usi…nipite mimi nime… nimeisha teseka Bwana kwa sababu ya dhambi.