Indirimbo Zikundwa Open in the app

#44

Mwokozi ameshinda

Umuco

Couplet 1

Mwokozi ameshinda kifo duniani, mauti ilimezwa kwa Ushindi wake, na sisi twafulahi tumekombolewa ./.Tumutukuze Yesu Mwana wa Mungu./.

Refrain

Sisi tufuate Bwana kweli ni Mwana wa Mungu sote tufuate Yesu ./.Tumutukuze Yesu Mwana wa Mungu./.

Couplet 2

Tetemeko imefika kwa dunia yote, waamini wanaimba kwa fulaha kubwa, sababu Mkombozi Ameshinda kifo ./.Tumusifu Mwokozi wa milele./.

Refrain

Sisi tufuate Bwana kweli ni Mwana wa Mungu sote tufuate Yesu ./.Tumutukuze Yesu Mwana wa Mungu./.

Couplet 3

Bwana Mungu Ameshinda uwezo wa giza na sisi tutashinda kwa Neema yake, tutaona Bwana Yesu uko Mbinguni ./.Tutaingia kule Mbinguni./.

Refrain

Sisi tufuate Bwana kweli ni Mwana wa Mungu sote tufuate Yesu ./.Tumutukuze Yesu Mwana wa Mungu./.

Couplet 4

Tungojee Bwana Yesu kwa uvumilivu wengine wamelala wamepumzika wanangoja siku ile parapanda italia ./.Tutamuona Mwokozi wetu./.

Refrain

Sisi tufuate Bwana kweli ni Mwana wa Mungu sote tufuate Yesu ./.Tumutukuze Yesu Mwana wa Mungu./.