Indirimbo Zikundwa Open in the app

#27

Unilehemu e’mungu wangu

Umuco

Couplet 1

Unilehemu, e’Mungu wangu unilehemu mimi, maana roho yangu mimi inakukimbilia.

Refrain

Maana neema yako ni kubwa Bwana hata milele ./.Na mbinguni tutaimba Haleluya, Haleluya, Amen! Haleluya, Amen./.

Couplet 2

Uniponyeshe maadui zangu ewe Mungu wangu, ninatembea katika giza unionyeshe nuru.

Refrain

Maana neema yako ni kubwa Bwana hata milele ./.Na mbinguni tutaimba Haleluya, Haleluya, Amen! Haleluya, Amen./.

Couplet 3

Unisikie E’Mungu wangu usiwe mbali nami, usinifiche uso wako sikia shida yangu.

Refrain

Maana neema yako ni kubwa Bwana hata milele ./.Na mbinguni tutaimba Haleluya, Haleluya, Amen! Haleluya, Amen./.

Couplet 4

Ninatamani moyoni mwangu kuona uso wako, nimezaliwa katika giza nakuitaji wewe.