Indirimbo Zikundwa Open in the app

#130

Niongoze, Bwana Mungu

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Niongoze, Bwana Mungu, Ni msafiri chini; Ni mnyonge, nguvu sina: Nishike mkononi; U mkate wa Mbinguni, nilishe siku zote.

Couplet 2

Kijito cha maji mema, Kitokacho mwambani, Nguzo yako, moto, wingu, Yaongoza jangwani; Niokoe mwenye nguvu; Nguvu zangu na ngao.

Couplet 3

Nikikaribia kufa, Sichi neno lolote, Wewe kifo umeshinda Zinawe nguvu zote, Tutaimba sifa zako, Kwako juu milele.