Indirimbo Zikundwa Open in the app

#53

Wewe umechoka sana

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Wewe umechoka sana? Wataka raha? Kwake Yesu utapata furaha.

Couplet 2

Alama anazo yeye? Sasa! makovu ya mikono, na miguu, Na mbavu.

Couplet 3

Nacho kimivukwa taji Kichwa cha huba? Alivikwa taji kweli miiba.

Couplet 4

Huku nikimfuata nipate nini? Maonjo nje na ndani amani.

Couplet 5

Kwamba namwandama Bwana, Mwisho ni nini? Ni furaha na salama Mbinguni.