#44
Kukawa na giza dunia yote
Tenzi za Rohoni
Couplet 1
Kukawa na giza dunia yote, Ni Mwanga wa ulimwengu, Ikaisha ulipokuja yote, Ni mwanga wa ulimwengu.
Refrain
Jua, Yesu hana mwenziwe! Nalipofuka kama wewe: Nakuombea umwone nawe, Ni mwanga wa ulimwengu.
Couplet 2
Hatuna giza tudumuo mwake, Ni mwanga wa ulimwengu; Tumwandamiapo nyayoni mwake Ni mwanga wa ulimwengu.
Refrain
Jua, Yesu hana mwenziwe! Nalipofuka kama wewe: Nakuombea umwone nawe, Ni mwanga wa ulimwengu.
Couplet 3
Enyi wa gizani wenye kutanga! Ni mwanga wa ulimwengu, Kaulekeeni, mpate lenga; Ni mwanga wa ulimwengu.
Refrain
Jua, Yesu hana mwenziwe! Nalipofuka kama wewe: Nakuombea umwone nawe, Ni mwanga wa ulimwengu.
Couplet 4
Tutamwona Mwokozi juu ya Mbingu Ni mwanga wa ulimwengu: Ni nuru za Mbingu kondoo wa Mungu Ni mwanga wa ulimwengu.