Indirimbo Zikundwa Open in the app

#42

Kivulini mwa Yesu

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Kivulini mwa Yesu kuna Kituo: Kituo mbali na hamu, kituo kilicho tamu.

Refrain

Kivulini mwa Yesu kuna kituo; kivulini mwa Yesu kuna kituo; Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu.

Couplet 2

Kivulini mwa Yesu nina amani Iliyopita fahamu, tena itakayodumu.

Refrain

Kivulini mwa Yesu kuna kituo; kivulini mwa Yesu kuna kituo; Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu Raha tu, mle; amani tupu, Furaha tele; kivulini mwa Yesu.

Couplet 3

Kivulini mwa Yesu, nina furaha; Furaha yenye fahari, ya kueneza habari.