Indirimbo Zikundwa Open in the app

#27

Mungu ni Pendo

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Mungu ni Pendo, Apenda watu; Mungu ni Pendo, Anipenda

Refrain

Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni Pendo, Anipenda.

Couplet 2

Nilipotea katika dhambi, Nikawa mtumwa wa Shetani.

Refrain

Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni Pendo, Anipenda.

Couplet 3

Akaja Yesu kuniokoa, Yeye kanipa kuwa huru

Refrain

Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni Pendo, Anipenda.

Couplet 4

Sababu hii namtumikia, Namsifu yeye siku zote.

Refrain

Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni Pendo, Anipenda.