Indirimbo Zikundwa Open in the app

#15

Cha kutumaini sina

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Chakutumaini sina Ila damu yake Bwana, Sina wema wa kutosha Dhambi zangu kuziosha;

Refrain

Kwake Yesu na Simama, Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama.

Couplet 2

Njia yangu iwe ndefu, Yeye hunipa Wokovu; Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanga.

Refrain

Kwake Yesu na Simama, Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama.

Couplet 3

damu yake na sadaka Nategemea daima, Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha.

Refrain

Kwake Yesu na Simama, Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama.

Couplet 4

Nikiitwa hukumuni, Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake.

Refrain

Kwake Yesu na Simama, Ndiye mwamba: ni salama Ndiye mwamba: ni salama.