Indirimbo Zikundwa Open in the app

#11

Nina haja nawe

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Nina haja nawe Kila saa; Hawezi mwingine Kunifaa.

Refrain

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Couplet 2

Nina haja nawe; Kaa nami, Na maonjo haya, Hayaumi.

Refrain

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Couplet 3

Nina haja nawe; Kila hali, Maisha ni bure, Uli mbali.

Refrain

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Couplet 4

Nina haja nawe, Nifundishe Na ahadi zako Zifikishe.

Refrain

Yesu, nakuhitaji Vivyo kila saa! Niwezeshe, Mwokozi, Nakujia.

Couplet 5

Nina haja nawe, Mweza yote, Ni wako kabisa Siku zote.