Indirimbo Zikundwa Open in the app

#310

Ninakuomba, Mungu Baba

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Ninakuomba, Mungu Baba, unisikilize, Kwa maana sina Musaidizi ila wewe pekee.

Refrain

Ninaamini kweli Yesu Alikuja kwami, Na Damu yake inanifungua toka zambi.

Couplet 2

Mapigo mengi Yesu alivumilia kwami; Kwa ajili yangu alibeba hata Musalaba.

Refrain

Ninaamini kweli Yesu Alikuja kwami, Na Damu yake inanifungua toka zambi.

Couplet 3

Na sasa kazi yangu moja ni kumupokea; Mwokozi alifanya yote kwa kuniokoa.

Refrain

Ninaamini kweli Yesu Alikuja kwami, Na Damu yake inanifungua toka zambi.

Couplet 4

Ee Yesu, ninakuamini, ninakupokea; Na ninapata kwako tu uzima wa milele.

Refrain

Ninaamini kweli Yesu Alikuja kwami, Na Damu yake inanifungua toka zambi.