#309
Hata tangu zamani
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
{Hata tangu zamani:,} x3 tuna Neno lake Yesu.
Refrain
{Neno lake ni Kweli,} x3 Neno lake Bwana Yesu.
Couplet 2
{Alitoka Mbinguni,} x3 kwa kutuokoa wote.
Refrain
{Neno lake ni Kweli,} x3 Neno lake Bwana Yesu.
Couplet 3
{Yeye mutakatifu,} x3 ndiye mwana wake Mungu.
Refrain
{Neno lake ni Kweli,} x3 Neno lake Bwana Yesu.
Couplet 4
{Alikufa kwa zambi,} x3 hata zambi zetu zote.
Refrain
{Neno lake ni Kweli,} x3 Neno lake Bwana Yesu.
Couplet 5
{Alitoka kaburi,} x3 naye alishinda kufa.
Refrain
{Neno lake ni Kweli,} x3 Neno lake Bwana Yesu.
Couplet 6
{Alikwenda Mbinguni,} x3 kwa kutengeneza pa’li.
Refrain
{Neno lake ni Kweli,} x3 Neno lake Bwana Yesu.
Couplet 7
{Atarudi upesi,} x3 kwa kutupeleka kwake.
Refrain
{Neno lake ni Kweli,} x3 Neno lake Bwana Yesu.
Couplet 8
{Mungu atapokea,} x3 wenye kumwamini Yesu.