#297
Bwana Yesu Atakuja
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Bwana Yesu Atakuja kutoka Mbinguni, Atawachukua wote wanaomwamini.
Refrain
Kama nyota za Mbingu watu wote wa Mungu Watangaa kwa Yesu Mwokozi milele.
Couplet 2
Atawakusanya wote wanaomupenda, Watakuwa mali yake milele Mbinguni.
Refrain
Kama nyota za Mbingu watu wote wa Mungu Watangaa kwa Yesu Mwokozi milele.
Couplet 3
Na watoto watakuwa pamoja na Yesu, Watangaa kama nyota nyumbani mwa Baba.
Refrain
Kama nyota za Mbingu watu wote wa Mungu Watangaa kwa Yesu Mwokozi milele.