Indirimbo Zikundwa Open in the app

#260

Bonde la mauti halitakuwa

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Bonde la mauti halitakuwa siku Yesu atakaporudia, Bonde la mauti halitakuwa, atatupokea kwake.

Refrain

Atatupokea kwake kwa kuishi naye milele; Tutaacha dunia ya huzuni kupata furaha kwake.

Couplet 2

Sikitiko halitakuwa kamwe siku Yesu atakaporudia, Sikitiko halitakuwa kamwe, atatupokea kwake.

Refrain

Atatupokea kwake kwa kuishi naye milele; Tutaacha dunia ya huzuni kupata furaha kwake.

Couplet 3

Na kilio hakitakuwa tena siku Yesu atakaporudia, Na kilio hakitakuwa tena, atatupokea kwake.

Refrain

Atatupokea kwake kwa kuishi naye milele; Tutaacha dunia ya huzuni kupata furaha kwake.

Couplet 4

Nyimbo za furaha tutamwimbia Siku Yesu atakaporudia, Nyimbo za furaha tutamwimbia, atatupokea kwake.

Refrain

Atatupokea kwake kwa kuishi naye milele; Tutaacha dunia ya huzuni kupata furaha kwake.