#259
Yesu atakapokuja tena
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Yesu atakapokuja tena kwa kutupeleka kwake, Atatukuta tayari kweli, taa zetu zikingaa?
Refrain
Ndugu, wewe ni tayari sasa Kukutana naye Bwana? Saa zote wewe ni mwaminifu? Leo unatazamia Yesu?
Couplet 2
Atatuita na Jina letu kusimama mbele yake; Ukimutoa habari zako, atakuambia: “Vema”?
Refrain
Ndugu, wewe ni tayari sasa Kukutana naye Bwana? Saa zote wewe ni mwaminifu? Leo unatazamia Yesu?
Couplet 3
Hakose sisi ni waaminifu, tukitumikia Bwana? Na roho safi tunangojea kuja kwake na furaha?
Refrain
Ndugu, wewe ni tayari sasa Kukutana naye Bwana? Saa zote wewe ni mwaminifu? Leo unatazamia Yesu?
Couplet 4
Heri ni wale wanaogoja kushiriki utukufu; Yesu atakapoonekana, watakwenda naye juu.