#250
Unipe usafi zaidi rohoni
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Unipe usafi zaidi rohoni, Nione huzuni zaidi kwa zambi; Imani zaidi kwa Yesu Mwokozi, Furaha kwa kazi, vile kwa..
Couplet 2
Niwe na asante zaidi kwa Mungu, Na matumaini katika kitabu, Machozi zaidi kwa taabu ya Bwana, Na unyenyekevu, upole, na Neema.
Couplet 3
Unipe uwezo kushinda jaribu, Na vile uhuru na utakatifu, Na hamu kuona ufalme wa Mbingu, Ili nifanane na Yesu zaidi.