Indirimbo Zikundwa Open in the app

#174

Hakika Yesu Mwamba nguvu

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Hakika Yesu Mwamba nguvu, Nitafichama kwake Yesu. Kwa saa ya taabu na mateso, Nitafichama kwake Yesu.

Refrain

Ee Yesu yeye pekee ni Mwamba nguvu Kwa kunificha, kuniokoa; Ee Yesu yeye pekee ni Mwamba nguvu Kwa siku ya hukumu kubwa.

Couplet 2

Shetani hataniumiza, nitafichama kwake Yesu; Siwezi kuogopa tena, nitafichama kwake Yesu.

Refrain

Ee Yesu yeye pekee ni Mwamba nguvu Kwa kunificha, kuniokoa; Ee Yesu yeye pekee ni Mwamba nguvu Kwa siku ya hukumu kubwa.

Couplet 3

Hatari ikinifikia, nitafichama kwake Yesu; Sitaki kutembea mbali, nitafichama kwake Yesu.

Refrain

Ee Yesu yeye pekee ni Mwamba nguvu Kwa kunificha, kuniokoa; Ee Yesu yeye pekee ni Mwamba nguvu Kwa siku ya hukumu kubwa.

Couplet 4

Usiku na muchana vile, nitafichama kwake Yesu; Atasaidia sikuzote, nitafichama kwake Yesu.