Indirimbo Zikundwa Open in the app

#140

Ee nitakimbia kwa Mwamba

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Ee nitakimbia kwa Mwamba wa nguvu Kutoka huzuni, mateso, na taabu; Nachoka na zambi, nataka tu Mungu; Ee nitafichama kwa Mwamba wa nguvu.

Refrain

Nitafichama kwako, Mwokozi; Ee Mwamba wa nguvu, Unifiche kwako.

Couplet 2

Kwa sa aye salama na vile kwa taabu, Na saa majaribu yanaponitesa, Nina kimbilio katika zoruba, Ee nitafichama kwa Mwamba wa nguvu.

Refrain

Nitafichama kwako, Mwokozi; Ee Mwamba wa nguvu, Unifiche kwako.

Couplet 3

Adui ya roho anapozunguka, Naweza kusema habari kwa Yesu, Atanisikia na kunifariji, Ee nitafichama kwa Mwamba wa nguvu.

Refrain

Nitafichama kwako, Mwokozi; Ee Mwamba wa nguvu, Unifiche kwako.