Indirimbo Zikundwa Open in the app

#138

Heri kabisa, Yesu ni wangu

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Heri kabisa, Yesu ni wangu Ni Muchungaji, na mimi ni wake; Nimezaliwa mara ya pili, Ninasafishwa kwa Damu yake.

Refrain

{Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele.} x2

Couplet 2

Kule Mbinguni kuna furaha Juu ya mwenye kutubu makosa; Nilisikia Neno la Mungu, Nilijitoa kwa Bwana Yesu.

Refrain

{Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele.} x2

Couplet 3

Ninashukuru Yesu Mwokozi, Na roho yangu inashangilia; Mimi si kitu mbele ya Mungu, Kwa Neema yake ananipenda.

Refrain

{Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele.} x2

Couplet 4

Ninastarehe sasa kwa Yesu, Nina salama kutoka kwa Mungu Ninangojea Yesu afike Kunipeleka kwake Mbinguni.

Refrain

{Yesu ni wimbo wa roho yangu, Nitakusifu hata milele.} x2