#125
Yesu Mwokozi anaita watu
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Yesu Mwokozi anaita watu, mimi na wewe na wote; Anakungoja kukukaribisha, wewe uliye zambini.
Refrain
Urudi, urudi, sasa urudi kwa Yesu Anakuita na anakungoja; leo urudi kwa Yesu.
Couplet 2
Unakataa Mwokozi kwa nini? anakungoja ufike; Kuna nafasi karibu na Yesu, njia ni wazi kwa wote.
Refrain
Urudi, urudi, sasa urudi kwa Yesu Anakuita na anakungoja; leo urudi kwa Yesu.
Couplet 3
Kumbuka saa zinapita upesi, hazitarudi kabisa Kuja kwa Yesu upate amani, leo ungali muzima.
Refrain
Urudi, urudi, sasa urudi kwa Yesu Anakuita na anakungoja; leo urudi kwa Yesu.
Couplet 4
Ona mapendo makubwa ya Yesu, Yanaenea kwa wote; Na kwa Neema anatukumbuka, Wewe na mimi na wote.
Refrain
Urudi, urudi, sasa urudi kwa Yesu Anakuita na anakungoja; leo urudi kwa Yesu.