Indirimbo Zikundwa Open in the app

#116

Hata ninalia na machozi

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Hata ninalia na machozi kama muto, Haitaondosha woga, haitasafisha zambi, Ninalia bule.

Refrain

Yesu alinikufia, aliteshwa kwa Kalvari, Yesu ananingojea, ataniokoa.

Couplet 2

Hata ninafanya kazi nyingi njema sana, Sitapata roho mpya, vile sitasamehewa, Kazi yangu bule.

Refrain

Yesu alinikufia, aliteshwa kwa Kalvari, Yesu ananingojea, ataniokoa.

Couplet 3

Kama nikingoja bila kuamini Yesu, Bila kumukaribia; nitakufa kwa milele, Ninangoja bule.

Refrain

Yesu alinikufia, aliteshwa kwa Kalvari, Yesu ananingojea, ataniokoa.

Couplet 4

Sasa ninaamini Yesu alinikufia, Alifanya kazi yote, Bwana Yesu peke yake Ataniokoa.

Refrain

Yesu alinikufia, aliteshwa kwa Kalvari, Yesu ananingojea, ataniokoa.