Indirimbo Zikundwa Open in the app

#111

Naona sasa Damu ya Kondoo

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Naona sasa Damu ya Kondoo yake Mungu, Ilimwangika kwa Kalvari kwa ajili yangu.

Refrain

Naona Damu ya Mwokozi, nasafishwa ndani yake; Kwa damu ninasifu Mungu, Damu ya damani kweli.

Couplet 2

Kwa nia na zamiri safi ninakwenda Mbingu, Sababu ninavikwa sasa haki yake Yesu.

Refrain

Naona Damu ya Mwokozi, nasafishwa ndani yake; Kwa damu ninasifu Mungu, Damu ya damani kweli.

Couplet 3

Ajabu kubwa, nimeonja heri ya Mbinguni Kwa Damu yake Yesu aliosha moyo wangu.

Refrain

Naona Damu ya Mwokozi, nasafishwa ndani yake; Kwa damu ninasifu Mungu, Damu ya damani kweli.