#97
Bwana Yesu Alikuja
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Bwana Yesu Alikuja kutafuta wapotevu; Kwa rehema yake Mungu tunapata kuokoka.
Refrain
Tunaimba kwa furaha, kwani tumekombolewa, Sifa kubwa kwake Yesu, kwani Alituokoa.
Couplet 2
Bwana Yesu alikuja kwa ajili yetu yote; Tunapata kuponyeshwa kwa mapigo yake kule.
Refrain
Tunaimba kwa furaha, kwani tumekombolewa, Sifa kubwa kwake Yesu, kwani Alituokoa.
Couplet 3
Tulifungwa na Shetani, tulikuwa wafu kweli; Mukombozi alikuja, sasa tunafunguliwa.
Refrain
Tunaimba kwa furaha, kwani tumekombolewa, Sifa kubwa kwake Yesu, kwani Alituokoa.
Couplet 4
Wala mali, wala kazi, haziwezi kuokoa; Yesu pekee anaweza kusamehe zambi zetu.
Refrain
Tunaimba kwa furaha, kwani tumekombolewa, Sifa kubwa kwake Yesu, kwani Alituokoa.
Couplet 5
Wewe ndugu, usingoje, kuja sasa kwake Yesu; Atakuokoa leo, utaimba na furaha.
Refrain
Tunaimba kwa furaha, kwani tumekombolewa, Sifa kubwa kwake Yesu, kwani Alituokoa.
Couplet 6
Siku moja Bwana Yesu atarudi duniani; Atatupeleka kwake kwa Mungini wa Mbinguni.