#88
Neema, neno tamu
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Neema, neno tamu kwa masikio yangu, Ni wimbo wa Mbinguni juu, dunia isikie.
Refrain
Nimeokolewa na Neema pekee; Yesu Kristo alikufa kwami na watu wote.
Couplet 2
Kwa Neema Jina langu linaandikwa Mbingu, Na Neema ilinipeleka karibu naye Yesu
Refrain
Nimeokolewa na Neema pekee; Yesu Kristo alikufa kwami na watu wote.
Couplet 3
Kwa Neema njia yako ni wazi mbele yangu; Ninapokea kwa Neema ninayoyahitaji.
Refrain
Nimeokolewa na Neema pekee; Yesu Kristo alikufa kwami na watu wote.
Couplet 4
Kwa Neema ninaweza kuomba Mungu Baba; Ni Neema inayonichunga mupaka saa ya kufa.
Refrain
Nimeokolewa na Neema pekee; Yesu Kristo alikufa kwami na watu wote.
Couplet 5
Uache Neema yako kuniendesha mbele, Unipe Neema kujitoa kwawe, Mwokozi wangu.