Indirimbo Zikundwa Open in the app

#73

Neno takatifu sana

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Neno takatifu sana ni Biblia yake Mungu, Nikisoma ndani yake inanifundisha sana.

Couplet 2

Inanikemea vile ninapotembea mbali; Inanionyesha nji, na mapendo ya Mwokozi.

Couplet 3

Inanifariji mimi ninaposumbuka sana; Nikiiamini kweli nitashinda hata kufa.

Couplet 4

Inaniambia wingi wa furaha ya Mbinguni; Ninapenda neno hili, ni hazina ya damani.