#266
Vilima viote na mabonde
Izindi
Couplet 1
Vilima viote na mabonde vitayeyushwa, Neno lake Bwana imara litasimama.
Refrain
Simama imara ulilinde, Neno lake Bwana imara, kesha kila siku uombe utasimama.
Couplet 2
Bwana Yesu atapako kuja tutamuona, Neno lake Bwana imara litasimama.
Refrain
Simama imara ulilinde, Neno lake Bwana imara, kesha kila siku uombe utasimama.
Couplet 3
Sisi wote tuwe tayari kua kuongojea, Atujuwe siku wala saa Bwana Atarudi.
Refrain
Simama imara ulilinde, Neno lake Bwana imara, kesha kila siku uombe utasimama.